Mkali wa Skelewu, Davido, inadaiwa kuwa amemjaza mimba
mtoto wa Kijamaica, aishiaye nchini Uingereza, na mdada huyo anatarajia watoto
mapacha.........
Kwa mujibu wa
Naijaxclusive mrembo huyo ambaye anatokea Caribbean mwenye asili ya Jamaica pia
amedai kuwa Davido alimpa ujauzito huo mwaka jana (2013) wakati alipokuwa
kwenye ziara yake nchini Uingereza
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment