Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata anatarajia
kuanza kutengeneza mabegi ya kubebea vitabu na madaftari kwaajili ya wanafunzi
nchini. Mabegi hayo ni sehemu ya mradi wake wa kutengeneza vifaa vya shule
uliopo chini ya taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation.
Kutoka timesfm.
0 maoni:
Post a Comment