
Mara baada ya kutoka kwa Filam ya “ The Wolf of Wll Street” kufungiwa kuoneshwa katika kumbi za sinema na kuuzwa mitaani na mtu yoyote, tukio hilo limeambatana na nchini ya Uganda nayo kuifungia Filam hiyo.
Kwa mujibu wa Gazet moja nchini humo limeripoti kuwa Filamu hiyo ilitakiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza jana katika kumbi za sinema lakini haikuoneshwa wa kutangazwa.
Kutokana na Ripoti kutoka
Hollywood, zinasema kuwa Filamu hiyo imefungiwa pia nchini Malaysia na Nepal, kutokana na tukio hilo kuna baadhi ya vipande vimetolewa ili ipate kurushwa katika nchi za India, UAE na Lebanon.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment