Video ya Nay wa Mitego, Nakula Ujana yataka kuvunja
penzi kwa mpenzi wake kutokana na kile ilichoendelea katika video ile, vipande
vya Video hiyo vilimuonesha Nay akiwa na mabinti wa kikenya waliokuwa
wakimshikashika kifua kwa mahaba. Baada ya mpenzi wake kununa na video hiyo nay
aliamua kufunnguka kupitia mandao wa Instagram.
“Nakula #ujana #video inataka kuharibu kwa bby... #966
ckiliza mrs nay hii ni video 2 hakuna kingine kilichoendelea baada ya apo,,, ni
kweli we ndo unastahili kushika icho kifua bt ni kazi 2 na nikatika kufanya ki2
kizuri.. plzz tusigombane bcoz of zat zic video,, sawa angeweza act m2 mwingine
bt ckuona haja yakumuweka m2 nilitakiwa kuonyesha uhalisia kidogo...@wemalious
mi penda wewe sana
kila m2 anajua,, wale mabinti wa kikenya wackupe pressure,”
0 maoni:
Post a Comment