
Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma alipost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia magoti kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”. Kitendo ambacho kilipondwa na wengi na kuonekana kama ni udhalilishaji..... TUMIA DAKIKA ZAKO KUMSIKILIZA OSTAZ JUMA HAPA.........
Kutoka Timesfm
0 maoni:
Post a Comment