Msanii wa muziki nchini Marekani Chris Brown,
amemshutumu aliyekuwa Meneja wake wa zamani kuwa amemvujishia Album yake ya “X”
kinyume na talatibu zake, haya aliyasema msanii huyo kupitia mtandao,................
Inadaiwa kuwa meneja huyo alimuomba Backup Hard Drive
yake ili aweze kumfanyia ujuma hiyo” My Old Menager is Leanking My New Album
Music and Refuses to give me my Backup Hard Drive to sabotage my Album.” Hayo yalikuwa
maneno ya CB
0 maoni:
Post a Comment