Msanii wa muziki nchini Marekani, Chris Brown,
amefunguka kupitia twitter, kuwa yuko mbioni kuachia Albam yake mpya siku ya May 5, aliyoipa jina la “X” kwa mujibu
wake hiyo itakuwa albam bora zaidi kati ya zile zilizopitaga.......
Na hiki ndicho alichokiandika msanii huyo ““‘X’ is by
far my best album
yet…setting the date for MAY 5.” Kupitia akaunt yake.
Albam hiyo ilipangwa kutoka July 2013, lakini kutokana
na matatizo mengi ya kukutana na mkono wa sheria ilimlazimu kuiahirisha na
kutaja mwisho wa mwaka huo kuwa angeitoa, ahadi ambayo alishindwa pia kuitimiza
baada ya kupewa amri na mahakama kukaa Rehab siku 90.
0 maoni:
Post a Comment