
Kikosi cha Man U, imetangaza ofa ya mshahara mnono kwa
Toni Kroos, ambaye ni kiungo wa Kijerumani kama atakua tayari kuachana na
Bayern Munich na kujiunga na Man U...........
Ofa hiyo ya mshahara wake mpya ni mara tatu ya mkwanja
anaopokea kwasasa katika timu yake.
Bayern kupitia kocha wao Pep Guardiola tayari
alishasema kwamba wanataka kubaki na mchezaji huyo lakini akaongeza lolote
linaweza kutokea – Bayern wana utajiri mkubwa wa viungo kwenye timu yao hivyo kumuuza Kroos
kunaweza kusipunguze ubora wao.
0 maoni:
Post a Comment