
Kikosi cha Timu ya Taifa , Taifa Stars, kimewasili
nchini Namibia leo hii kwa ajili ya Mechi dhidi ya Brave Warriors, mchezo huo
utachezwa keshokutwa nchini Humo.....
Mchezo huo utakiputa katika uwanja wa Sam Nujoma.
Mungu Iwezeshe timu yetu kufanya Vizuri katika mchezo
huo.
0 maoni:
Post a Comment