DIAMOND Platnumz, amesikitishwa na baadhi ya watu
waliovujisha Wimbo wake ambao haukuwa tayari kutoka, kupitia akaunti yake ya
Instagram, Platnumz, alifunguka na kusema..........
“Moja ya nyimbo zangu
ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena
ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa
yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na
haiko Qualified....” "KITORONDO" hii ndio jina la wimbo uliovujishwa.
0 maoni:
Post a Comment