
Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi ingawa kuna suprise ambayo imesemekana anataka kumfanyia zaidi ya kuachia video hizo. .............
0 maoni:
Post a Comment