Ule uvumi sasa ni wazi, kuwa Dancer wa
Diamond plantnuz, Mose Iyobo, na Aunt yEzekiel, ni wapenzi, moja ya mtandao Tz, Millardayo.com, uliandika kuwa........
Kwenye
interview na Mose Iyobo alipoulizwa kama ni kweli yeye ndio baba Kijacho
akaanza kwa kusema” ‘Ndio iko hivyo, si unajua mahusiano ni sehemu yoyote hata kwenye
daladala yanaanza” hayo yalikuwa majibu ya Dancer huyo alipokuwa akifanyiwa
mahojiano na Millardayo.
Aliendelea
kufunguka kwa kusema kuwa “uhusiano wetu wa kimapenzi ulianzia wakati tukiwa
kwenye tuzo za MTV Durban South Africa June mwaka 2014, tulikutana huko na tukajuana
huko.”
Kwa
hivyo tulivyofikia tumekubaliana tu mimi nitakua Baba na yeye atakua mama
tuendeleze mwendelezo wa huyo anaekuja” hayo ndio yalikuwa mahojiano kati ya
Millard na Mose.
Kikubwa ni Dancer na boss Diamond Platnumz wote ni baba vijacho.
0 maoni:
Post a Comment