Mahakama
ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa
tatu..............
Kulingana
na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema
leo asubuhi .
Hapo
Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo
akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi utakaompendelea rais
Nkurunziza.
Rwanda
imethibitisha kuwa jaji huyo yuko mjini Kigali.
kutoka BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment