Waride
kubwa la kijeshi mjini moscow tangu kuvunjika kwa Muungano wa Usovieti linaanza
muda mfupi unaokuja lakini viongozi wa mataifa mengi ya magharibi
hawatahudhuria.............
Rais
wa Urusi Vladimir Putin atakuwepo wakati maelfu ya wanajeshi watatembea eneo la
Red Square kuadhimisha miaka 70 ya kuushinda utawala wa kinazi wa
Ujerumani
wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia.
Marekani
na viongozi wengi wa ulaya wamesusia sherehe hizo kupinga kuhusika kwa Urusi
kweye mzozo ulio nchini ukrain.
Kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment