Msanii wa muziki wa kizazi kimpya Dully
Sykes, amefunguka juu ya kwanini ameunfollow watu wate katika akaunti yake ya
Instagram, “mimi ni mtu mmoja mwenye mapresha presha sana kiukweli… ........
siwezi
kufollow watu ambao wanajiusisha na ugomvi, mambo ya kutuma vitu ambavyo mimi
siwezi kuona na kupenda labda nikifollow media tu,
Aliendelea
kwa kusema kuwa “ hawezi kufollow mtu ambaye anayeweza kumponda mtu ambaye yeye
anampenda kuwa hatojisikia poa, hayo ndio maneno ya Dully.
0 maoni:
Post a Comment