Msanii wa muziki wa
Bongo Fleva nchini Tanzania, Mh Temba amefunguka na kusema kuwa Hanscana ndiye
aliyefanya ratiba yake ya kushusha video yake kuchelewa kutoka.
Msanii huyo aliyetaka
kuachia video ya wimbo wake wa “FUNDI” amefunguka na kusema kuwa ngoma hiyo
haitoweza kuachiwa mwaka huu tena.
Sababu kubwa ya
kushindikana kutoka kwa video hiyo mwaka huu ni baada ya Director wake Hanscana
kusafiri nnchin Afrika Kusini na kukaa dhaidi ya mwezi mmoja, nje ya ratiba
yake na msanii huyo., kutokana na sababu hizo wimbo huo utatoka mwakani.
0 maoni:
Post a Comment