Najua wajua kuwa
michezo ni Afya Burudani katika maisha yetu ya kila siku, ikiwa zimebaki siku
chache kumaliza mwaka huu wa 2015, kumekuwa na mambo mengi katika michezo huko
ugaibuni.
Moja kati ya mitandao
mikubwa ya habari za Michezo dunia, “bleacherreport.com” umetoa List ya
wachezaji 20, bora katika ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2015.
WACHEZAJI HAO NI..(TOP
20)
1. David De Gea (Man
United/Hispania)
2 .Mesut Ozil (Arsenal/Ujerumani)
3. Alexis Sanchez (
Arsenal/Chile)
4. David Silva (Man
City/Hispania)
5. Sergio Aguero (Man
City/Argentina)
6. Chris Smalling (Man
United/Uingereza)
7. Santi Cazorla (Arsenal/Hispania)
8. Harry Kane (Tottenham/Uingereza)
9. Toby Alderweireld
(Tottenham/Ubelgiji)
10. Francis Coquelin (Arsenal/Ufaransa)
11. Willian (Chelsea/Brazil)
12. Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
13. Jamie Vardy (Leicester City/Uingereza)
14. Philippe Coutinho (Liverpool/Brazil)
15. Hector Bellerin (Arsenal/Hispania)
16. Hugo Lloris (Tottenham/Ufaransa)
17. Morgan Schneiderlin (Man United/Ufaransa)
18. Scott Dann (Crystal
Palace/ Uingereza)
19. Sadio Mane (Southampton/Senegal)
20. John Stones (Everton/Uingereza)
0 maoni:
Post a Comment