Msanii chipukizi wa
muziki wa kizazi kipya kutoka label ya WCB, Harmonize, amechora tattoo yenye
picha ya meneja wake Diamond Platnumz, na kuandika A.K.A yenye utata kwa
sasa “SIMBA”.
Msanii huyo ametoa
sababu yay eye kuichora hiyo tattoo ni pamoja na kuheshimu mchango wa Diamond
katika maisha yake, aliendelea kwa kuesma kuwa hatoweza kusahau mchango wa
msanii huyo katika maisha yake.
0 maoni:
Post a Comment