MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Ted Cruz ajitoa kwenye kinyang'anyiro Marekani

Cruz
Seneta wa jimbo la Texas Ted Cruz amejiondoa katika kinyang'anyiro cha uteuzi kugombea nafasi ya urais wa Marekani kupitia chama cha Republican.
Alitoa tangazo lake punde tu baada ya kupoteza kura katika kampeni za mwisho Indiana.
Cruz amewaambia wafuasi wake kuwa alifanya kila analoweza katika kampeni zake,lakini hakukuwa na njia ya yeye kuweza kusonga mbele zaidi 
Chanzo BBC Swahili
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment