MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Polisi Brazil wamemshtaki muogeleaji wa Marekani Ryan Lotche

Uhalifu huo hukumu yake ni miezi nane jela
Image captionUhalifu huo hukumu yake ni miezi nane jela
Polisi nchini Brazil wamemshtaki muogeleaji wa olympic wa marekani Ryan Lotche kwa kutoa madai ya uongo kuwa yeye na wenzake watatu waliibiwa kwa kushikiwa bunduki wakati wa michuano ya Rio kitu amabacho ni upotoshaji.
Uhalifu huo hukumu yake ni miezi nane jela.
Msemaji wa polisi ameeleza kuwa kesi hiyo imepelekwa mahakamani na Lotche atatakiwa kujibu mashtaka hayo. Idara ya marekani imesema inatambua ombi hilo.
Lotche ameondoka Brazil kabla hajahojiwa na polisi. Ameomba msamaha kwa kusema uongo juu ya kuibiwa. Lotche amepoteza wadhamini wake wakubwa wanne kufuatia tukio hilo na hivyo kuweka hatarini kazi yake ya uogeleaji
Kesi hiyo imepelekwa mahakamani na Lotche atatakiwa kujibu mashtaka hayo
Image captionKesi hiyo imepelekwa mahakamani na Lotche atatakiwa kujibu mashtaka hayo
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment