
Baada ya Director Hanscana kufunguka na kutoa sababu za kumwagana na Wanene Ent, nao wanene wametoa yao ya moyoni juu ya Director huyo.
“Ni kweli Hanscana hayupo wanene Entertainment,hajafukuzwa lakini amejiuzulu kutokana na mkataba aliopewa na kampuni hakuwa ameuridhia.Yeye alitaka mahitaji fulani kwa kampuni kama Red camera,ili afanye kazi kwa ufanisi zaidi,lakini kampuni ilimwambia asubiri kidogo atumie zilizopo halafu mbeleni atapata hiyo camera maana ni hela ndefu kidogo,pia alikuwa analalamika kuwa kampuni imewekeza hela nyingi kwenye audio kuliko video,n hivyo tu hakuna bifu yoyote” alieleza Gentriez
0 maoni:
Post a Comment