
Australia imeweka rekodi mpya ya
ushindi kwenye mashindano ya kimataifa ya mpira wa magongo maarufu kama
Twenty20 baada ya kuishinda Sri Lanka kwa 263-3 huko Pallekele. Jumla ya
mipigo 260 iliwekwa na Sri Lanka dhidi ya Kenya mwaka 2007 Glenn
Maxwell nae alipiga mipigo 145 na kutoa nje mipira 65.
"kwa utaratibu ukiwa juu unapata uhuru mwingi zaidi kwenye mchezo na kucheza kwa tahadhari."Maxwell alisema. Maxwell.Mchezaji mwingine Aaron Finch anashikilia rekodi yake ya kushinda 156, ambayo alishinda dhidi ya England mwaka 2013.
Japo kuwa Maxwell mwenye umri wa miaka 27 anacheza michuano ya wazi baada ya Finch kuvunjika kidole kwenye mchezo dhidi ya Sri Lanka uliofanyika hivi karibuni dhidi ya Ufaransa."kusalia juu ni mahali fulani ningependa kubaki, lakini kwenye timu nyingi nilizozichezea sikupata fursa", alisema Maxwell.
Rekodi ya Australia kwenye michuano ya T20 imekuja siku nane tu baada ya England kuweka rekodi mpya siku moja kwenye michuano ya kimataifa ya Cricket, 444 dhidi ya pakistan ambayo iliweka rekodi katika michuano iliyopita dhidi ya Sri Lanka.
kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment