
Rais wa Gabon, Ali Bongo, amesema
yuko tayari kutii uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba iwapo mahakama hiyo
itaagiza kura za uchaguzi mkuu uliofanyika wiki mbili zilizopita
zihesabiwe upya.
Kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Ufaransa, Bw Bongo amesema sheria za nchi zake haziruhusu kura zihesabiwe tena.
Kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment