Bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 5
licha ya mataifa yanayozalisha bidhaa hiyo kukubaliana kupunguza
kiwango cha uzalishaji kwa kipindi cha miezi minane.
Wakikutana
mjini Vienna,mawaziri wa kawi kutoka muungano wa mataifa yanayozalisha
mafuta OPEC na mataifa yasiozalisha bidhaa hiyo ulikubaliana kuendelea
kupunguza kiwango cha mafuta hadi Machi 2018
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment