mchafuko wa hali ya hewa
katika nchi ya china mji mkuu wa Beijing , imefikia
kiwango kikubwa sana
ambacho hakijawai kutokea kwa miaka
kadha. Vipimo vya uharibifu
wa hali ya hewa vimepindukia kiwango ambacho Watoto na wazee wametakiwa
kutotoka nje.
![]() |
| HII NI PICHA INAYOONESHA MJI WA BEIJING UCHINA |
Inasemekana kuwa ni siku kadha hivi mji wa beljini
imetandwa na ukungu Mzito sana , na hewa ina ladha ya moshi wa mkaa na magari.

0 maoni:
Post a Comment