NDOA YA JINSI MOJA YAZUA
UTATA
Makundi ya wafaransa
wamekusanyika katika barabara
Za mji wa paris kupinga
mpango wa kuhalalisha ndoa
Ya jinsia moja.
![]() |
| Baadhi ya watu walioandamana kupinga ndoa ya watu wenye jinsia moja |
Mswada uliopendekezwa na
serikali, utaruhusu watu wa
jinsia moja kuoana na kulea
watoto.
Takribani watu laki moja
wameandamana katika miadhara mitatu tofauti na kukusanyika karibu na Eiffel Tower .

0 maoni:
Post a Comment