UN KUTOA TAMKO NCHINI KENYA
Jumuia yaumoja wa mataifa imesema kuwa itainglia
kati nchini Kenya iwapo
Ghasia zitazuka nchini Kenya kabla au baada ya
kufanyika kwa uchaguzi mkuu
Wa tarehe 4 machi, kama serikali itashindwa
kudhibiti hali hiyo.
Gazeti la Kenya, The East African, limemnukuu
mshauri maalumu wa umoja wa
Mataifa wa kuzuia mauaji ya kimbari, Adama Dieng,
akisema mjini Nairobi kwamba
Ni wajibu wa serikali
ya Kenya kuakikisha usalama wa wananchi wake kwa kuzuwia Gh
0 maoni:
Post a Comment