Msanii wa kizazi kipya Belle 9, amewataka
watayarishaji wa muziki nchini kuanda kazi zao vizuri kwani kwa sasa wasanii
wengi wa hapa nchini wanafanya kazi vizuri, hivyo watayarishaji watengeneze
kazi kwa hadhi ya juu.
Hayo yamesemwa na Belle 9, katika mahojiano na Kiss
Fm, pia amesema kuwa wasanii wengi kama vile AY, BEN POL, ALLY KIBA, Na
wengineo wengi wamefanya jitihada ya kuupeleka mzikii huu mbele lakini wamekuwa
wakiludishwa nyuma na waandaaji wa muziki huo hapa nchini kwetu.
0 maoni:
Post a Comment