Siku ya Tar, 01/07/2013, Dunia itashuhudia mchezo
mkali wa mpira kati ya Brazil na Spain, mchezo huo unawavutia watu wengi
kuutaza ambao umeshehena vipaji kutokana na Historia za nchi hizo ni kuwa wote
wanavipaji vya wachezaji wazuri wa mpira ambao wanachezea timu mbalimbali hapa
Duniani.
Brazil ni timu ambayo imejichukulia ubingwa wa kombe
la dunia kwa mara Tano, wakati vijana wa Spain nao wakiwa ni timu ilijichukulia
vikombe vya Euro 2008, World Cup 2010, na Euro 2012, hapa wanakuwa wamechukua
makombe matatu makubwa Duniani.
Mchezo wa Kesho usiku utakuwa na vuta nikuvute
kutokana na Timu zote mbili kujiweka sawa na kuutamani ubingwa huo wa kombe la
Mabara, katika kiwanja cha Maracana, kutokana na Ukubwa wanchi hizi katika
Soka, watu wengi wamekuwa na maswali vichwani, nani ataibuka na Ubingwa?
0 maoni:
Post a Comment