
.
Kalamashaka au K, Shaka ni kundi la Hip Hop, kutoka
nchini Kenya liloanzishwa na wasanii watatu,
Kundi hilo lilifanikiwa kufanya kazi na wasani
mbalimbali wa ndani na nje ya nchi yao pia wasanii hao
walitembea nchi nyingi za Afrika na Ulaya katika Show, nchi hizo ni pamoja na
Norway, Sweeden, na Afrika kusini.
Kundi hilo kwa sasa halina mambo mapya bali ni
kwamba mmoja kati ya msanii wa kundi hilo anauza karanga katika maeneo ya Umoja
Estate, Nairobi ili maisha yapate kwenda.
Msanii huyo wa kundi la K-shaka, alionekana
akitembeza karanga katika maeneo ya Nairobi nchini Kenya, Pia msanii huyo
inasemekana kuwa anatumia madawa ya Kulevya.
Kundi hilo liliwashawishi wasanii wachanga kuingia
katika fani ya muziki nchini humo.
0 maoni:
Post a Comment