Msanii wa Bongo Fleva Nchin Tanzania Ben Pol, amefunguka na kusema kuwa yuko mbiyoni kufanya nyimbo na msanii kutoka nchin Kenya ambaye ni Anto,
pia alisema kuwa kitu kinachofanya ujio huo mpya kuchelewa ni kutokana na Anto, kuwa na mambo mengi ukiachiliambali kuwa ni msanii pia ni mtangazaji.
kutokana na mujibu wa Pol, amesema mpaka sasa kuna baadhi ya mistari ambayo wameshatumiana wasanii hao, hayo yamesemwa na msanii Pol wa nchini Tanzania.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment