nyimbi hii ni yakwanza kutoka katika albam yake mpya, ambayo imeshehena nyimbo kali tupu na kutumiwa gharama kubwa katika kuikamilisha albam hiyo ikiwa ni pamoja na kuipigia promo kubwa wiki mbili zilizopita kabla ya kuachiwa kwa mzigo huo.
albam hiyo kwanza imeachiwa kwa watumiaji wa simu za Samsung, na july 7, itauzwa kwa wote duniani, pia leo kumefanyika pati ya siri iliyouzuriwa na watu wa karibu tu akiwemo mke wa Jay z- Beyonce. na producer aliyeifanya albam hiyo- Timberland
Jay-Z |
0 maoni:
Post a Comment