Justin Bieber ameonekana katika
mitaa ya NYC, akitembea kifua nje bila nguo ya juu yani shati, wadau wengi
walifunguka na kusema kuwa..
” someone say,Bieber lost his shirt,
mwengine alisema kuwa, He misplaced it, mwengine naye, it disappeared, lakini
hao wote hawakuwa na ukweli wowote kuhusu msanii huyo”
0 maoni:
Post a Comment