Msanii wa Bongo Move nchini- Lulu, ameibuka mshindi katika tamasha kubwa la filam Afrika, kupitia category ya "BEST ACTRESS SWAHILI MOVES" ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa wasanii wengi wa kike wanafanya vizuri katika tasini hiyo kwa sasa.
tamasha hili la ZIFF- limempa jina msanii huyu kutokana na kuwa ni Tamasha kubwa sana Afrika ambalo hudhuriwa na wasanii wengi kutoka sehemu nyingi duniani, hii ni fursa nyingine kwa msanii huyo kujiweka katika hadhi za kimataifa.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment