Mama mzazi wa msanii Prof Jay, amepoteza maisha leo
mida ya saa 1, usiku kutokana na ajali ya Gari maeneo ya Mbezi Mwisho,
anapoishi msanii huyo.
Ajali hiyo ilitokea mara baada ya mama huyo kuvuka
barabara akielekea dukani kujipatia vitu
vya nyumbani, jitiada za kumuwaisha hospitali zilifanyika na kumfikisha katika
hospitali ya Tumbi, lakini jithada hizo ziligonga mwamba na mama huyo kuiyaga
Dunia katika Hospital ya Tumbi.
0 maoni:
Post a Comment