Mmiliki wa Home Shopping Centre, Said Mohammed,
amemwagiwa Tindikali hapo jana usiku, maeneo ya Msasani City Mall, mida ya Saa
2 usiku.
Mtu aliyefanya tukio hilo alikimbia kwa Pikipiki na
kutoweka eneo hilo, Said, amelazwa katika Hospital ya Trauma –AMI, Hospital-
Masaki, Inasemekana kuwa macho yote mawili yamepatwa na Tindikali hiyo lakini
moja ndiyo limeadhurika zaidi.
Pia amefungwa mashine katika Pua yake, askali bado
wanawatafu wahusika wa tukio hilo.
0 maoni:
Post a Comment