Masnii wa muziki nchini Tanzania,Mr. Nice, mwenye
makazi yake nchini Kenya, amepata lebel mpya mara baada ya kumwagwa na lebel
yake ya zamani ambayo ni GrandPa ya nchini Kenya, na sasa yupo katika lebel ya
Candy Records.
Hii lebel haina muda mwingi tokea kufunguliwa nchini
humo, kwa mujibu wa lebel hiyo zimebaki siku chache tu kukamilisha mpango wa
mkataba huo na Mr .Nice.
Katika wasanii ambao wamepata shavu katika lebel
hiyo ni pamoja na Top C, wa Tanzania na wengine wengi kutoka nchi za Afrika
mashariki.
0 maoni:
Post a Comment