MSHIRIKI WA BBA, HATIYANI KUFUNGWA JELA
Mmoja kati ya washiliki wa BBA, kutokea nchini Ethiopia, Betty Abera, yuko hatiyani kufunguliwa mashtaka kwa kufanya mapenzi hadharani na aliyekuwa mpenzi wake Bolt, katika jumba la BBA, huko nchini Afrika kusini.
kutokana na kesi hiyo mshiriki huyo wa BBA, anaweza kwenda jela kwa muda wa miaka 6, kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo.
kutokana na maoni ya mashabiki, kila mtu alikuwa na yake ya kusema, yafuatayo ndiyo yalijitokeza katika jamii hiyo.
Hakuna uthibitisho kama ni kweli walifanya tendo hilo sababu walikuwa wamejifunika nguo.
Betty, hakufanya tendo hilo mbele za watu, kwanza hakukua na mtu mwengine zaidi ya Camera.
Serikali ya Ethiopia, inatakiwa kuishitaki kituo cha Tv, "DSTV" kilichorusha tukio hilo moja kwa moja kwa watazamaji wa nchin Ethiopia.
0 maoni:
Post a Comment