MTOTO wa Whitney Houston, ametangaza uchumba na
aliyekuwa Kaka yake wa hiyali, chanzo cha Habari kinasema kuwa wawili hao
hawakuwa Ndugu wa damu bali Whitney, alimchukulia kijana huyo kama mwanae.
Tokea kifo cha mama yake, Bobbi, aliandamwa na
vyombo vya Habari kuwa msichana huyo anatembea na kaka yake, kimempelekea kujitetea kuwa huyo akuwa kaka
yake wa damu, bali waliishi naye kama ndugu tu. Aliongezea kuwa mama yake
alishajua kuwa watakuja kuwa na mausiano ya kimapenzi na Gordon, ambaye ni kaka
wa hiyali tu.
0 maoni:
Post a Comment