Msanii wa muziki nchini Marekan, Nick Minaj,
amefunguka na kusema kuwa kamwe hawezi kuolewa na Dj-Khaled, hii imetokana na
kile alichokisema DJ Khaled kuwa anataka kumvisha pete na kufunga naye ndoa.
Nick, alisema kuwa nilishtushwa kusikia hiko kitu
kwa msanii huyo pia nilicheka sana lakini Khaled ni mastar mkubwa sana katika
tasnia hii ya muziki.
Msanii huyo kumbe alikuwa na nia ya kupiga proma ya
video yake mpya ambayo ndani yake kuna msanii huyo wa kike, Nick Minaj na Rick
Ross, ambayo inakwenda kwa jina la Suffering From Success” I wanna Be with you”.
Dj Khaled, alisema kuwa ilikuwa ni njia nyengine
kwake kuionesha Dunia kuwa Feeling ya Wimbo huo “No body in real life took it
seriously, Everyone just hit me like LOL yo Khaled is crazy” hayo yalikuwa
maneno ya Dj K.
Nick, alivunja matumaini yote kwa Dj, huyo kwa
kutamka kuwa anamchukulia kama kaka yake so itakuwa ngumu kwake yeye kuwa na
mausiano ya kimapenzi.
0 maoni:
Post a Comment