Msanii wa Hip Hop, nchini Kenya,Prezzo, amefunguka
na kumchana msanii wa Bongo Fleva, Wanchini Tanzania, Diamond, kuwa amezoeya
kujipatia umaharufu kupitia wapenzi wake wa zamani.
PREZZO, alifunguka kapitia tweet zake na kusema” All along nilijua kuwa ni kawaida yake kutafuta”KIKI” kutoka
kwa ma ex wake, hadi lipo soma magazeti anaongea utumbo kunihusu. Now its ON” Hayo
aliyasema Prezzo.
0 maoni:
Post a Comment