Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka
na kusema kuwa msanii wa nchini Kenya, Prezzo, alimpigia simu na kumuomba
msamaa kufuatia kile alichokiandika katika kurasa yake ya Tweeter, kudisiwa na
msanii huyo, Diamond, amemtaka Prezzo kuomba msama kupitia ukurasa wake wa
Tweeter kama hilivyokuwa hawali.
Diamond anasema kuwa alishangazwa na Prezzo
kuchukulia umakini majigambo ya kwenye stage, wakati hivyo ni vitu vya kawaida
tu hata wasanii wengine wanafanya wakiwa uwanjani lakini wakitoka mambo yote
wanayaacha hapo hapo na kuwa friend kama kawa,
Diamond aliendelea na kusema kuwa yeye hakujisikia
poa kabisa kwa matusi ya Prezzo kwa kuwa yeye hakuzoeya mambo hayo,
0 maoni:
Post a Comment