MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

RAY C: NAKUJA TENA MASHABIKI WANGU.

 msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ray C, alikuwa kima kwa muda mrefu sana kutokana na matatizo ya kiafya yaliyochangiwa na utumiaji wa madawa ya kulevya, mara baada ya kupewa tiba ya kusimamisha utumiaji wa madawa hayo, sasa amekuwa poa.
msanii huyo ametuma ujumbe kwa mashabiki wake wa muziki wa Bongo Fleva nchini kwa kuwaambia, "NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU, WALIONISAPOTI" Huo ndiyo ujumbe wa mwadada huyo Rehema Chalamila, A.k.a, Ray C.
New -Ray C, you seeeeeeeee, kweli madawa noma, binti sasa yuko pina kaisa
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment