Justin Bieber, alishushwa katika Gari alipobainika
kuwa hana leseni ya kuendesha Gari katika ardhi ya California, Polisi walimtaka
atoke katika kiti cha Dereva na kuamia katika kiti cha abiria.
Polisi walisema kuwa msanii huyo alikuwa anaendesha
gari aina ya Ferrari, nyeupe, inasemekana kuwa JB, hakubisha alipotakiwa
kufanya hivyo kwa kuwa leseni yake ilikuwa nje ya muda.
Kama msanii huyo ataitaji kuwa nyuma ya usukani basi
kipindi hichi atatakiwa kujisajili tena ili apewe lesi mpya kutokana na leseni
yake kwisha muda.
HII NDIYO GARI ALIYOKUWA AKIENDESHA JB. |
0 maoni:
Post a Comment