Samaki Samaki ya Mbezi –Makondeko jijini Dar es
salaam, imeteketea kwa moto hii leo, watu wanadai kuwa moto huo umesababishwa
na hitilafu ya Umeme, vitu vyote vya samani vimeteketea kwa moto huo.
Samki samaki yateketea kwa Moto, |
Samki samaki yateketea kwa Moto, |
0 maoni:
Post a Comment