Msanii
wa Muziki nchini Tanzania , Ben Pol, kupitia wall yake ya Facebook, amefunguka
na kusema kuwa siku ya Tar 08.09.2013, ni siku muhimu sana kwake kwa kuwa ni
siku ambayo ainaambatana na viyu vitatu muhimu.
Sept 8 Nitakuwa nasherehekea Vitu vitatu;
1. Kuzaliwa
2. Kutoa wimbo mpya niliomshirikisha Alice
3. Kuibua nyota mpya ya muziki yaani "Alice
1. Kuzaliwa
2. Kutoa wimbo mpya niliomshirikisha Alice
3. Kuibua nyota mpya ya muziki yaani "Alice
Hivi ndivyo
alivyofunguka muda huu.
0 maoni:
Post a Comment