Msanii mwenye mafanikio makubwa kupitia
muziki nchin Tanzania, Diamond, leo hii amesaini mkataba mpya na kampuni ya
Simu za mkononi Vodacom, mkataba huo ni kuwa wimbo wake wa Number 1, utakuwa
ukiuzwa na kampuni hiyo pekee, kama Ring Back Tone.
Pia msanii huyo ameendelea kufanya vizuri katika
mtandao wa YouTube, na kufikisha watu 188,000, waliotembelea na kuitazama
nyimbo hiyo.
0 maoni:
Post a Comment