Hawa
ndio waliochukua tunzo ya Mwezi mara baada ya kikosi cha Liverpool, kufanya
vizuri katika msimu wa Ligi hiyo, kocha Brenad Rogers, akiwa na mshambuliaji wa
kikosi chake Daniel Sturridge, wakiwa wameshika tuzo hizo.
Kocha Na Mshambuliaji wakishika zawadi zao. |
0 maoni:
Post a Comment