Msanii
nyota nchini Marekani JayZ na mke wake Beyonce, wamepngoza katika wasanii
wanaojipatia mkwanja zaidi kuliko wasanii wengine walio katika mausiano ya
kimapenzi au wanandoa.
Takwimu ya Forbes ya nchini humo inaonesha kuwa
wapenzi wa kwanza kwa kuingiza mkwanja wa kutosha ni Jay Z na mkewe Beyonce,
wakifuatiwa na Tom Brady na mkewe Gisele Bundchen, hawa wawili wamejipatia
mkwanja wad olla milioni 80, namba tatu imeshikwa na modol mkubwa sana anayelipwa pesa nyingi
kuliko wote ni Bundchen, sambamba na namba nne imeshikwa na Asshton
Kutcher na Mila Kunis, namba tano
imeshikwa na Kanye West na Kim Kardashian.
Hawa ni baadhi tu ya wasanii wanaoshika chati katika
kusaka mkwanja wakiwa kama mke na mume, hii inatakiwa kuigwa na wasanii wetu wa
Tanzania kuwa na vitu vya kujivunia katika maisha yao, kwa sasa mfano mzuri kwa
Taifa letu ni msanii Diamond Platnumz kufanya vizuri kwa kipindi hichi na
wengine kama kina AY, Ommy Dimpoz nk.
0 maoni:
Post a Comment