Justin
Bieber na wenzake walikuwa katika Ndege ya kukodi walichafua hali ya hewa kwa
kuvuta sigara na bangi katika ndege hiyo, hayo yalisemwa na Rubani wa ndege
hiyo punde walipofika safari yao.
Inasemekana JB, hakuvuta bali wenzake ndiyo
waliokuwa wakifanya uchafuzi wa hali ya hewa katika ndege hiyo pia aliendelea
kusema hali hiyo ujitokeza punde wanapokuwa katika ndege ya Kukodi ndiyo
wanafanya mambo ya kinyume na taratibu za Usafiri.
0 maoni:
Post a Comment